Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stegomena Tax (watatu kutoka kulia), Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wanne kutoka kulia),wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe uliowakilisha nchi ya Tanzania katika Mkutano wa Mawaziri wa Ulinzi, Amani na Usalama wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika uliofanyika Makao Makuu ya umoja huo nchini Ethiopia.
Na Mwandishi Wetu, Ethiopia
Mawaziri wa Ulinzi, Amani na Usalama kutoka nchi wanachama wa Umoja wa Afrika wameazimia kuanzisha jeshi la pamoja na kituo ili...
Read More