UTANGULIZI
1.Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba, kufuatia Taarifa iliyowasilishwa leo Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Bunge lako Tukufu sasa likubali kupokea, kujadili, na kupitisha Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu, Mpango na Bajeti ya Wizara ya Madini kwa Mwaka wa Fedha wa 2017/18. Aidha, ninaomba Bunge lako Tukufu likubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Madini kwa Mwaka wa Fedha wa 2018/19.
Mheshimiwa Spika, awali ya yote ninamshu...
Read More