Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya kompyuta mpakato, Mwanafunzi wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Kassim Majaliwa, Calvin Omari, baada ya kuwa mshindi wa kwanza kwenye uandishi wa insha ya masuala ya Muungano, ofisini kwake Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 26, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mwanafunzi wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Kassim Majaliwa, Calvin Omari (wa pili kulia) baada ya kuwa mshindi wa kwanza kwenye uandishi wa insha ya masuala ya Muungano, ofisini kwake Mlimwa...
Read More