Waziri Mkuu Akabidhi Zawadi kwa Mwanafunzi Mshindi wa Insha ya Muungano
Apr 26, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mwanafunzi wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Kassim Majaliwa, Calvin Omari (wa pili kulia) baada ya kuwa mshindi wa kwanza kwenye uandishi wa insha ya masuala ya Muungano, ofisini kwake Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 26, 2022. Kutoka kushoto ni Mzazi wa (Calvin) Filbert Taratibu, Mkuu wa Shule ya Sekondari Kassim Majaliwa,David Mwakalobo na kulia ni Mwalimu wa somo la Kiswahili, Stamili Mmenyuka.