Na Lilian Lundo - MAELEZO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameliagiza Baraza la Maadili kusimamia maadili ya utumishi wa Umma ili kila mtumishi wa Umma atambue majukumu yake na kuheshimu mipaka ya kazi yake.
Rais Samia amesema hayo leo, Aprili 2, 2022, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma alipokuwa akiwaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni wakiwemo Wajumbe wa Baraza la Maadili.
"Hali ya utumishi wa Umma sio nzuri sana, ingawa tunasifiwa kwa mabadiliko tuliyoyafanya Serikali ya Awamu ya Tano, yam...
Read More