Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (katikati), akizungumza jambo na baadhi ya Wadau wa Sekta ya Mifugo nchini, katika ukumbi wa Mikutano wa Kambarage, Jijini Dodoma, waliojadili namna ya kuboresha sekta hiyo kupitia Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2022/2023. Kushoto ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki , Kulia ni Bw. Tixon Nzunda, Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi.
Benny Mwaipaja, Dodoma
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ametoa rai kwa wadau wa sekta ya mifugo nchini...
Read More