Waziri wa Nishati, January Makamba akizungumza na watendaji kutoka Chama cha Uagizaji na Usambazaji wa Mafuta Tanzania (TAOMAC), Aprili 6, 2022 katika Ofisi ya Wizara jijini Dar es Salaam. Kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati, Kheri Mahimbali na kulia kwake ni Kamishna wa Petroli na Gesi, Michael Mjinja.
Na Janeth MesomapyaWaziri wa Nishati, Mhe. January Makamba amesema kuwa mafuta yaliyopo kwenye maghala, vituo vya mafuta pamoja na yale yanayoshushwa bandarini kwenye meli yanatosheleza mahitaji ya mafuta nchini.Waziri Mak...
Read More