[caption id="attachment_41152" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wakati alipotembelea ofisi za TBS, Ubungo jijini Dar es salaam, Machi 6, 2019. Kulia ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya, wa tatu kulia ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu na wa nne kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, Angela Kairuki.[/caption]
[caption id="attachment_41149" align="aligncenter" width...
Read More