Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Paul Kagame Amaliza Ziara Yake Nchini
Mar 08, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_41160" align="aligncenter" width="790"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Teminal 1 wakati akijiandaa kurejea nchini Rwanda mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili jijini Dar es Salaam.

[/caption] [caption id="attachment_41155" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame wakipita kwenye Gadi ya heshma iliyoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Terminal 1 jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_41158" align="aligncenter" width="859"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
[/caption] [caption id="attachment_41156" align="aligncenter" width="975"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na vikundi mbalimbali vya ushehereshaji kwa kuwapungia mkono mara baada ya kumsindikiza mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame.
[/caption] [caption id="attachment_41157" align="aligncenter" width="810"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na vikundi mbalimbali vya ushehereshaji katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam mara baada ya kumsindikiza mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi