Waziri wa Habari, Mawasiliano, Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye akizungumza wakati akifungua mkutano wa baraza la wafanyakazi wa Wizara hiyo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Prisca Ulomi na Faraja Mpina, WHMHT, Dodoma
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye amewataka wafanyakazi wa Wizara anayoiongoza kutambua kuwa wao ni sehemu ya kuipeleka Tanzania Kidijitali kwa kuwa wana wajibu, majukumu na dhamana ya kutekeleza sera, sheria, kanuni, miongozo na miradi ya...
Read More