[caption id="attachment_51748" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Tawi la Mawasiliano wakati akifungua kikao cha Baraza hilo, Dodoma[/caption]
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye amesema kuwa Sekta ya Mawasiliano ni sekta mtambuka ambayo ina mchango mkubwa katika kuinua pato la Taifa hivyo watendaji wake hawana budi kufanya kazi kwa bidii, ufanisi na kuto...
Read More