Waziri wa Nishati January Makamba, (katikati), Kaimu Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati Kheri Mahimbali (wa tatu kulia) na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa upande wa Tanzania, Mara Warwick,(wa pili kushoto) wakati wakizungumza katika kikao cha kujadili maendeleo ya miradi ya sekta ya Nishati, kilichofanyika mkoani Dar Es Salaam, Machi 28, 2022.
Na Zuena Msuya DSM,
Waziri wa Nishati, January Makamba amekuta na ujumbe wa Benki ya Dunia ukiongozwa na Mkurugenzi Mkazi wa benki hiyo kwa upande wa Tanzania, Mara Warwick na kuzun...
Read More