Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi Akutana na Kuzungumza na Mkurugenzi wa OPEC Fund Ikulu Zanzibar
Mar 30, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Opec Fund ukiongozwa na Mkurugenzi, Dkt. Abdulhamid Al Khalifa (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 30-3-2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiongozana na mgeni wake Mkurugenzi wa Opec Fund, Dkt. Abdulhamid Al Khalifa (kulia kwa Rais) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-3-2022.