Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu), Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akiongea wakati wa Uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya PSSSF
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu), Prof. Joyce Ndalichako amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha ndani ya kipindi cha mwaka mmoja cha utawala wake, kutoa hati fungani ya shilingi trilioni 2.17 kwa ajili ya kuulipa mfuko wa PSSF deni lilodumu kwa muda mrefu la shilingi trilioni 4.6 la mich...
Read More