[caption id="attachment_40608" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Kibondo kwenye ukumbi wa Halmashauri hiyo, Februari 19, 2019. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Mstaafu, Emmanuel Maganga.[/caption]
[caption id="attachment_40605" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako wakati alipozungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kib...
Read More