[caption id="attachment_28729" align="aligncenter" width="816"] Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akijibu maswali kwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Bungeni Mjini Dodoma.[/caption]
Na: Lilian Lundo - MAELEZO, Dodoma.
Serikali inaendelea na mpango wa kuhamasisha ulimaji wa mazao makuu matano ya Pamba, Korosho, Tumbaku, Kahawa na Chai nchini ili kuongeza uzalishaji wa mazao hayo.
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ameyasema hayo leo Bungeni Mjini Dodoma wakati wa maswali kwa Waziri Mkuu alipokuwa akijibu swali la Mbunge...
Read More