[caption id="attachment_40800" align="aligncenter" width="1000"] Mkazi wa kijiji cha Mkwanyule, Kata ya Masoko, wilayani Kilwa, Rehema Sudi (kulia), akitoa maoni yake kuhusu masuala ya umeme, kwa Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu (mwenye kilemba), wakati wa ziara yake eneo hilo jana, Februari 24, mwaka huu.[/caption]
Na Veronica Simba – Lindi
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amekemea vikali utendaji kazi mbovu wa Mkandarasi State Grid, anayetekeleza mradi wa umeme vijijini Mkoa wa Lindi kutokana na kufanya kazi chini ya kiwango na ku...
Read More