[caption id="attachment_40806" align="aligncenter" width="1000"] Muonekano wa lori likipima uzito katika mzani wa Makambako, mkoani Njombe. Wasafirishaji wanaendelea kupewa elimu ya Sheria mpya ya Udhibiti wa Uzito wa magari ya Jumuiya ya Afrika Mashariki itakayoanza kutumika tarehe 1 Machi, 2019[/caption] [caption id="attachment_40807" align="aligncenter" width="1000"] Afisa kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Omary Kinyange, akitoa elimu kwa madereva wa malori kuhusu utumikaji wa sheria mpya ya Afrika Mashariki ya Udhibiti wa Uzito wa magari katika mzani wa Makambako uliopo mkoani Njombe. Sheria hiyo inatarajiwa kuanza kutumika tarehe 1 Machi, 2019[/caption] [caption id="attachment_40808" align="aligncenter" width="1000"] Afisa kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Omary Kinyange, akitoa elimu kwa madereva wa malori kuhusu utumikaji wa sheria mpya ya Afrika Mashariki ya Udhibiti wa Uzito wa magari katika mzani wa Makambako uliopo mkoani Njombe. Sheria hiyo inatarajiwa kuanza kutumika tarehe 1 Machi, 2019[/caption]