[caption id="attachment_51183" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, akizungumza jambo kwa Balozi wa Misri Nchini Tanzania, Mhe. Mohamed Gaber Abulwafa na ugeni wake kutoka Misri walipokutana leo Jijini Dar es Salaam, ambapo wawekezaji wa sekta ya Michezo kutoka Misri wanatarajia kujenga sehemu kubwa ya Michezo mbalimbali (Sports Arena) hapa Nchini.[/caption]
[caption id="attachment_51184" align="aligncenter" width="750"] Wageni Kutoka Misri wakimsikiliza Waziri wa Habari...
Read More