[caption id="attachment_28429" align="aligncenter" width="750"] Wataalam kutoka Idara ya Manunuzi, Wizara ya Nishati wakifungua nyaraka mbalimbali za zabuni katika kikao hicho kilichofanyika Wizarani leo Jijini Dar es Salaam.[/caption]
Na Greyson Mwase, Dar es Salaam
Zabuni kwa ajili ya mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Kuzalisha Umeme wa Megawati 2100 katika Maporomoko ya Maji ya Mto Rufiji zimefunguliwa leo tarehe 02 Februari, 2018.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa zabuni hizo kwenye Ofisi za Wizara ya Nishati zilizopo jijini Dar es Salaam, M...
Read More