Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akisalimiana na Mkurugenzi wa Shirika la Kazi Duniani Ukanda wa Afrika Mashariki (ILO), Bw. Willington Chibebe (kushoto) alipomtembelea ofisini kwake Jijini Dodoma, Februari 10, 2022.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Shirika la Kazi Duniani Ukanda wa Afrika Mashariki (ILO), Bw. Willington Chibe...
Read More