[caption id="attachment_25475" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu akizungumza na wakandarasi wanaotekeleza miradi ya usambazaji wa umeme vijijini kupitia Wakala wa Nishati Vijijini Awamu ya Tatu (REA III) katika mkoa wa Tanga, watendaji kutoka Wizara ya Nishati, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijiji (REA) hawapo pichani.[/caption]Na Greyson Mwase.Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amesema kuwa wakandarasi walioshindwa kukamilisha miradi ya usambazaji wa umeme vijijini Awamu ya P...
Read More