Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Vijana Watakiwa Kuwa Wazalendo
Dec 22, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_25483" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO) Jeremiah John Jilili akisisitiza jambo mbele ya Waandishi wa Habari kuhusu mchango wa vijana kuelekea uchumi wa viwanda leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Afisa Habari wa Idara ya Habari (MAELEZO) Jonas Kamaleki na Waziri wa Katiba Sheria na Utawa Bora wa Daruso Ibrahim Bimbalirwa.[/caption] [caption id="attachment_25484" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Katiba Sheria na Utawa Bora wa Daruso Ibrahim Bimbalirwa akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa Habari kuhusu mchango wa vijana kuelekea uchumi wa viwanda leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO) Jeremiah John Jilili na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Mambo ya Nje Jumuiya za Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Bw. Malisa Martine.[/caption] [caption id="attachment_25485" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Mawasiliano na Mambo ya Nje Jumuiya za Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Bw. Malisa Martine akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa Habari kuhusu mchango wa vijana kuelekea uchumi wa viwanda leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Katiba Sheria na Utawa Bora wa Daruso Ibrahim Bimbalirwa.[/caption] [caption id="attachment_25486" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya W3aandishi wa Habari wakifuatilia mkutano baina yao na viongozi wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuhusu mchango wa vijana kuelekea uchumi wa viwanda leo Jijini Dar es Salaam. (Picha na: Frank Shija - MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi