Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mkutano na Waandishi wa Habari kuhusu mambo mbalimbali ya Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Keny, Mhe. Uhuru Kenyatta Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Desemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Uhuru Kenyatta akizungumza katika Mkutano na Waandishi wa Habari kuhusu mafanikio mbalimbali yaliyopatikana katika ziara yake ya siku mbili nchini Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika...
Read More