Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya Saba wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wakati alipofika kumtembelea Makamu wa Rais katika Makazi yake Osterbay Jijini Dar es salaam, Desemba 10, 2021.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Saba wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein wakati alipofika kumtembelea Makamu wa Rais katika Makazi yake Osterbay Jijini Dar es salaam. (Kushoto kwa Makamu wa Rais ni Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango na kulia kwa Dkt. Shein ni Mkewe Mwanamwema Shein) Desemba 10, 2021.