Rais Samia na Rais Kenyatta Wazungumza na Waandishi wa Habari
Dec 10, 2021
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Uhuru Kenyatta akizungumza katika Mkutano na Waandishi wa Habari kuhusu mafanikio mbalimbali yaliyopatikana katika ziara yake ya siku mbili nchini Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo Rasmi na Ujumbe wa Kenya ulioongozwa na Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Uhuru Kenyatta Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Desemba, 2021.