[caption id="attachment_39080" align="aligncenter" width="900"] Mkurugenzi wa Idara ya Vijana Kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Bw. James Kajugusi, akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo leo Jijini Dodoma wakati wa kikao cha Baraza la wafanyakazi wa Wakala wa Usalama na Afya Mahala Pa Kazi (OSHA) kuhusu umuhimu wa kufanya kazi kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu.[/caption]
Na: Mwandishi Wetu
Watumishi wa Wakala wa Usalama na Afya Mahala Pa Kazi (OSHA ) wame...
Read More