[caption id="attachment_49870" align="aligncenter" width="750"] Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania , Prof. Florence Luoga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), kuhusu fedha bandia na vifaa vya kutengeneza fadha hizo zilizokamatwa Chanika nje kidogo ya Jijini la Dar es Salaa, Mkutano huo ulifanyika katika Ukumbi wa Benki Kuu Jijini Dar es Salaam, Disemba 17, 2019.[/caption]
[caption id="attachment_49871" align="aligncenter" width="750"] Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa akizungumza na waandishi wa h...
Read More