[caption id="attachment_24990" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa (wa tatu kulia), akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Shirika la Ndege la FlyDubai mara baada Waziri huyo kuzindua safari za shirika hilo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), Mkoani Kilimanjaro leo. Katikati ni Makamu wa Rais Uendeshaji Biashara wa Shirika hilo, Sudhir Sreedharan.[/caption]
Serikali imesema itahakikisha inatoa ushirikiano kwa Shirika la Ndege la Dubai (Fly Dubai) ili kuhakik...
Read More