Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya akisisitiza jambo kwa wajumbe wa Menejimenti ya Mamlaka ya Reli Tanzania na Zambia –TAZARA (hawapo pichani) alipokagua karakana Kuu ya TAZARA jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa TAZARA, Mhandisi Christopher Shiganza.
Na Mwandishi Wetu - WUU
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ameitaka Menejimenti ya Mamlaka ya Reli Tanzania na Zambia (TAZARA), kubuni mikakati ya kibiashara inayoweza kutekelezeka na kupimika ili kuliwezesha shirika h...
Read More