Afisa Uhamiaji Wilaya ya Kusini Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji, Kheri Shabani akitoa mkono wa salamu kwa Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu, wakati alipowasili kwenye Jengo la Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Kusini Unguja, alipofanya ziara ya kikazi Mkoani humo, tarehe 21 - 22 Novemba, 2017.
Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu, akitia saini kitabu cha wageni, mara tu alipowasili Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Kusini Unguja, ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya kikazi Mkoani humo, Leo tarehe 22 Novemba, 2017. Kushoto ni A...
Read More