[caption id="attachment_23240" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Japan nchini Mhe. Masaharu Yoshida alipokutana na na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo. (Picha na Ikulu)[/caption]