Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Spika Ndugai Akutana na Kufanya mazungumzo na Mabalozi Watatu
Nov 22, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_23202" align="aligncenter" width="750"] Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akimkaribisha Balozi wa Oman nchini Ali A.Al Mahruqi alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.[/caption] [caption id="attachment_23203" align="aligncenter" width="750"] Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akifurahia jambo na Balozi wa Oman nchini Ali A.Al Mahruqi alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.[/caption] [caption id="attachment_23204" align="aligncenter" width="750"] Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Oman nchini Mhe. Ali A. Al Mahruqi alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.[/caption] [caption id="attachment_23205" align="aligncenter" width="750"] Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Dkt. Detlef Waechter alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.[/caption] [caption id="attachment_23206" align="aligncenter" width="750"] Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akiteta jambo na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Dkt. Detlef Waechter alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.[/caption] [caption id="attachment_23207" align="aligncenter" width="750"] Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akiagana na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Dkt. Detlef Waechter mara baada ya kumaliza mazungumzo yao leo Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_23208" align="aligncenter" width="750"] Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akipeana mikono na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Dkt. Detlef Waechter mara baada ya kumaliza mazungumzo yao leo Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_23209" align="aligncenter" width="750"] Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Al- Najem alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.[/caption] [caption id="attachment_23210" align="aligncenter" width="750"] Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akiteta akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Al- Najem alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.[/caption] [caption id="attachment_23211" align="aligncenter" width="750"] Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akipokea barua ya Spika wa Bunge la Kuwait kutoka kwa Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Al- Najem alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.(Picha na: Frank Shija)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi