Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Kituo cha Afya Nangurugai wilayani Ruangwa, Novemba 18, 2022. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Frank Chonya.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Kituo cha Afya Nangurugai akiwa katika ziara wilayani Ruangwa, Novemba 18, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata malezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Frank Chonya (wa tatu kulia) kuhusu ujenzi wa Kituo cha Afya cha Namgurugai wilayani humo, Novemba 18, 2022....
Read More