Na: Jonas Kamaleki
Maadhimisho ya Sherehe za miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara yatapambwa na Gwaride la Mkoloni, Makomandoo na Gwaride la kimyakimya ambapo Rais Magufuli anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi.
Hayo yameelezwa jijini Dar es Salaam na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama katika mahojiano maalum na mwandishi wa habri hii.
Mhe. Mhagama alisema kuwa maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara yatafanyika kitaifa mjini Dodoma, Makao Makuu ya Nchi, kati...
Read More