Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi kishikwambi Mwalimu Victoria Kishiwa wa Shule ya Sekondari Dodoma wakati alipozindua ugawaji wa vishikwambi katika sekta ya elimu kwenye ukumbi wa jiji Mtumba jijini Dodoma, Novemba 4, 2022. Kushoto ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia , Profesa Adolf Mkwenda.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua ugawaji wa vishikwambi katika sekta ya elimu kwenye ukumbi wa jiji Mtumba jijini Dodoma, Novemba 4, 2022. Kulia ni Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda...
Read More