[caption id="attachment_37768" align="aligncenter" width="900"] Mkurugenzi wa Ubora na Uhakiki wa Wizara ya Afya, maendeleo ya jamii, jinsia Wazee na Watoto Dr. Mohamed Mohamed akifungua kongamano la kimataifa la madaktari bingwa wa upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu leo Jijini Dar es Salaam.[/caption]
Na Mwandishi Wetu; MOI
Mkurugenzi wa ubora na uhakiki wa Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt Mohamed Mohamed leo tarehe 5/11/2018 amefungua kongamano la tano la kimataifa linalolenga kutoa mafun...
Read More