[caption id="attachment_22827" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza katika mkutano na wakimbizi wa Burundi wanaoishi kambi ya Nyarugusu, iliyoko wilayani Kasulu, mkoani Kigoma. Katika ziara hiyo iliyokuwa pia na ujumbe kutoka Serikali ya Burundi, ukiongozwa na Waziri wa Mambo yaNdani na Mafunzo ya Uzalendo, Pascal Barandagiye, lengo ikiwa kukagua zoezi la urejeshaji wakimbizi hao makwao linavyoendelea.[/caption]
[caption id="attachment_22828" align="aligncenter" width...
Read More