[caption id="attachment_22816" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya akizungumza wakati wa hafla fupi ya maadhimisho ya siku ya mtoto njiti dunia leo Jijini Dar es Salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yameratibiwa na Shirika la Msaada wa Maendeleo la Ujerumani (GIZ) wanaofadhili ,mradi wa kukabiliana vifo vya watoto wenye umri mdogo. Kutoka kulia ni Balozi wa Ujerumani nchini Dkt. Detlef Wachter. Meneja Programu Yakusaidia Afya Tanzania -German, GIZ Dkt. Susanne Grimm na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Dk. Wedson Sichalwe.[/caption] [caption id="attachment_22818" align="aligncenter" width="750"] Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Dkt. Detlef Wachter akielezea jambo wakati wa hafla fupi ya maadhimisho ya siku ya mtoto njiti dunia leo Jijini Dar es Salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yameratibiwa na Shirika la Msaada wa Maendeleo la Ujerumani (GIZ) wanaofadhili ,mradi wa kukabiliana vifo vya watoto wenye umri mdogo.[/caption] [caption id="attachment_22819" align="aligncenter" width="750"] Meneja Programu Yakusaidia Afya Tanzania -German, GIZ Dkt. Susanne Grimm akielezea jambo wakati wa hafla fupi ya maadhimisho ya siku ya mtoto njiti dunia leo Jijini Dar es Salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yameratibiwa na Shirika la Msaada wa Maendeleo la Ujerumani (GIZ) wanaofadhili ,mradi wa kukabiliana vifo vya watoto wenye umri mdogo. Kutoka kulia ni Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Dkt. Detlef Wachter, Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Dk. Wedson Sichalwe.[/caption] [caption id="attachment_22820" align="aligncenter" width="750"] Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Dkt. Wedson Sichalwe akielezea jambo wakati wa hafla fupi ya maadhimisho ya siku ya mtoto njiti dunia leo Jijini Dar es Salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yameratibiwa na Shirika la Msaada wa Maendeleo la Ujerumani (GIZ) wanaofadhili ,mradi wa kukabiliana vifo vya watoto wenye umri mdogo. Kutoka kulia ni Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Dkt. Detlef Wachter, Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya na Meneja Programu Yakusaidia Afya Tanzania -German, GIZ Dkt. Susanne Grimm.[/caption] [caption id="attachment_22821" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya akipokea vifaa kwa ajili ya kutolea huduma za matibabu kwa watoto njiti kutoka kwa Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Dkt. Detlef Wachter katika hafla ya maadhimisho ya siku ya mtoto njiti dunia iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Vifaa hivyo vyenye gharama ya Euro 8,538.30 vimetolewa na Serikali ya Ujerumani kupitia Shirika la Kimataifa la Maendeleo Ujerumani(GIZ) kupitia mradi wa kukabiliana vifo vya watoto wenye umri mdogo.[/caption] [caption id="attachment_22822" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Dkt. Detlef Wachter wakionyesha vifaa kwa ajili ya kutolea huduma za matibabu kwa watoto njiti katika hafla ya maadhimisho ya siku ya mtoto njiti dunia iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Vifaa hivyo vyenye gharama ya Euro 8,538.30 vimetolewa na Serikali ya Ujerumani kupitia Shirika la Kimataifa la Maendeleo Ujerumani(GIZ) kwa ajili ya kusaidi Hospitali za Mikoa ya Mtwara na Lindi iliyo katika mradi wa kukabiliana vifo vya watoto wenye umri mdogo.[/caption] [caption id="attachment_22823" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Dkt. Detlef Wachter wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watendaji wa Wizara ya Afya mara baada ya kumalizika kwa hafla ya maadhimisho ya siku ya mtoto njiti dunia iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam. (Picha zote na: Frank Shija)[/caption]