[caption id="attachment_22785" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimkabidhi nakala ya Jarida la Nchi Yetu Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) Dkt. Jim Yonaz alipotembelea Ofisi za Idara hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Jarida hilo nit oleo maalum la mwezi Novemba ambalo limeangazia miaka miwili ya uongozi wa Rais Dkt, John Pombe Magufuli. (Picha na: Maelezo)[/caption]