Na Jacquiline Mrisho
Serikali imetoa rai kwa wananchi kuendelea kuasili watoto ili kuwasaidia kupata huduma za msingi na malezi bora.
Rai hiyo imetolewa leo Bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla kwa niaba ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakati akijibu swali la Mhe. Fatma Toufiq lililohoji juu ya uhamasishaji wa jamii kuhusu kuasili watoto
Waziri Dkt. Kigwangalla amesema kuwa Serikali imeendelea kutoa elimu kwa jamii kuhusu umuhimu wa kuasili watoto kupi...
Read More