Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mwanaidi Ali Khamis akifungua mafunzo ya Program ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto kwa Wabunge, jijini Dodoma Novemba 09,2022
Na WMJJWM, Dodoma
Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maaalum imewapongeza Wabunge kwa utayari wao na kuwa mstari wa mbele katika suala la Elimu ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto.
Akifungua Semina kwa Wabunge kwa niaba ya Waziri wa Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wanawa...
Read More