Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Madaba kabla ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali hiyo, Oktoba 19, 2022. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Thomas Laban na kulia kwake ni Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Madaba, Dkt. Mussa Rashidi.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Madaba mkoani Ruvuma, Oktoba 19, 2022. Kushoto kwake ni Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Dkt. Mussa Rashidi.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baad...
Read More