Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma, Dkt. Fatma Mganga (Wa pili kulia) akimkabidhi cheti cha ushiriki, Dkt. Winland Samwel kutoka Hospitali ya Rufaa Maweni, Kigoma, wakati wa kilele cha mafunzo ya Tathmini za Ulemavu uliosababishwa na ajali na magonjwa yatokanayo na kazi yaliyoandaliwa na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) jijini Dodoma mwishoni mwa wiki. Madktari hao walitoka Mikoa ya Kigoma, Tabora, Singida na Dodoma.
Madaktari nchini wametakiwa kuzingatia uadilifu, umakini, kujitolea na uzalendo wakati wakitekeleza majukumu yao wanapowahudumi...
Read More