Rais Dkt. Mwinyi Akutana na Balozi wa Uganda Nchini
Oct 03, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Uganda Nchini Tanzania, Mhe.Fred Mwesigye wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na mgeni wake Balozi wa Uganda Nchini Tanzania, Mhe. Fred Mwesigye baada ya mazungumzo yao leo wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kujitambulisha.