Taarifa kwa Umma
Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Japan (JICA) imeandaa mafunzo ya siku tano kwa ajili ya kuongeza ubora, tija na ufanisi viwandani. Mafunzo hayo yameanza kutolewa leo, Benjamin William Mkapa Special Economic Zone iliyopo Mabibo External, Dar es Salaam kwa washiriki 25 kutoka Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uwekezaji kwa Mauzo ya Nje (Export Processing Zones Authority, EPZA); na viwanda vyenye leseni ya EPZA; Tanzania Tooku Garment Factory, Kamal Steel Ltd, Quality Pulse, Hyses EP...
Read More