Na MJJWM, Dodoma
Shirika la Children's SOS Village limeikabidhi Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Kompyuta sita zenya thamani ya zaidi ya Shilingi milioni 14 aina ya HP Brobook shabaha ikiwa ni kuboresha utendaji kazi wa kila siku kwa wataalam wa Wizara hiyo.
Hafla ya Mapokezi hayo imefanyika leo Oktoba, 07, 2022 na kuongozwa na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara, Patrick Golwike, katika Ofisi za Wizara zilizopo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambapo Menejimenti na wataalam kutoka Wizara hiyo, wameshuhudia mapokezi...
Read More