Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Wakili Amon Mpanju akizungumza wakati akifungua Semina ya Siku moja kwa Maafisa Maendeleo na Ustawi wa Jamii, Wenyeviti wa Masoko na Viongozi wa Shirikisho la Machinga nchini, SHIUMA wa Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani Oktoba 06, 2023 jijini Dar es Salaam,
Read More