[caption id="attachment_36716" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania Jaji Thomas Mihayo, wakati akiwasili kwenye ukumbi wa Julius Nyerere Dar es salaam, kufungua maonesho ya Swahili International Tourism Expo Oktoba 12, 2018, katikati ni Naibu Waziri wa maliasili na Utalii Josephat Hasunga , kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema.[/caption]
[caption id="attachment_36717" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na...
Read More