TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Katika kuelekea Kilele cha Mbio za Uhuru mwaka 2017 na Kumbukumbu ya 18 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli leo tarehe 13 Oktoba 2017 amefanya ziara ya kutembelea vituo vya kulelea wazee, watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu mjini Zanzibar.
Akiwa na Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mwanamwema Shein, Mama Janeth Magufuli amekabibidhi zawadi ya Mchele kilo 7,626, Unga wa Mahindi kilo 7,626, Sukari kilo 1,068 na Mafuta ya Alizeti lita 576, kwa vi...
Read More